Rooting Effects: Simu Tecno C5 haifanya kazi playstore na browsers

Rooting Effects: Simu Tecno C5 haifanya kazi playstore na browsers

rmvicentrm

Senior Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
147
Reaction score
26
Nimeroot sim yangu c5 Tecno. Nimetoa baadhi ya apps. Tatizo browsers zote hazifanyi kazi.

Naombeni msaada wenu wakuu.
 
Naombeni msaada wenu jamani,

Simu yangu inafeli kila kitu play store na browers zingine imetokea baada ya ku-roote.

Ni tecno c5.
 
inafail ndio nn? weka screenshot **** kuelezea ni ngumu
 
napata shida kuatach screen shot lakini sim haifungui play store na browers zingine
 
yaani hapo cm ni kama umeinunua dukani, hebu jaribu kuangalia setting za internet
 
sehemu zingine ipo sawa sema apps hazifunguki kabisa play store na browers kama opera niliyokuwa nimeinstal
 
Kweny Ku uninstall itakuw ume itoa au ume I disable app ambayo ni system app yenye umuhimu
Embu angalia
Google play services ipo?
na kama ipo iko updated?
 
hiyo google play services haipo kuna play store pekee
 
05204072cbbad3493b9eb8ac8313b2fd.jpg
kama hii program haipo nidownload kwanza sababu ni muhimu sana
 
hiyo ndiyo mistake nimefanya sema play store haifanyi kazi na kwa ufupi siwezi download chochote mbadala nafanyaje
 
hiyo ndiyo mistake nimefanya sema play store haifanyi kazi na kwa ufupi siwezi download chochote mbadala nafanyaje
Hapo nionavyo Mimi remove hiyo root nauifactor reset upya itakuwa kama ulivyoinunua dukani na itapiga kazi kama kawaida vipi ulitumia App gani kuroot simu yako?
 
hiyo ndiyo mistake nimefanya sema play store haifanyi kazi na kwa ufupi siwezi download chochote mbadala nafanyaje
samahani.... nimeangalia kwenye app hiyo ipo mkuu sa si tatizo ni nn
 
Hapo nionavyo Mimi remove hiyo root nauifactor reset upya itakuwa kama ulivyoinunua dukani na itapiga kazi kama kawaida vipi ulitumia App gani kuroot simu yako?
king root.... nilivo ona inasumbua nilirestore factory setup lakin tatizo halikutoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom