Je, unapataje pesa kwa kumiliki blog?

Sikununu

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
341
100
Wasalamu wana JF

Naomba kuuliza kuhusu ili suala la kugenerate pesa kwa kumiliki blogs na mitandao mingine ya kijamii, mimi sio mjuzi sana wa mambo ya kimitandao ila nimekuwa nikisikia kwamba unaweza kutengeneza pesa kwa kuwa na blog au mtandao wa kijami.

Mfano halisi ni huu mtandao wetu pendwa JAMIIFORUMS ni vipi wanapata pesa

Ahsanteni
 
wasalamu wana JF

naomba kuuliza kuhusu ili suala la kugenerate pesa kwa kumiliki blogs na mitandao mingine ya kijamii, mimi sio mjuzi sana wa mambo ya kimitandao ila nimekuwa nikisikia kwamba unaweza kutengeneza pesa kwa kuwa na blog au mtandao wa kijamii

mfano halisi ni huu mtandao wetu pendwa JAMIIFORUM ni vipi wanapata pesa

ahsanteni
jf wanapata pesa through matangazo ,pia member Subscription wanachangia i.e gold member
 
unaweza kujiunga na AdSense au any CPA network ukaanza kuingiza mshiko kwa kuonyesha matangazo kwenye blog yako. kwa mahitaji ya AdSense account ni pm
 
wasalamu wana JF

naomba kuuliza kuhusu ili suala la kugenerate pesa kwa kumiliki blogs na mitandao mingine ya kijamii, mimi sio mjuzi sana wa mambo ya kimitandao ila nimekuwa nikisikia kwamba unaweza kutengeneza pesa kwa kuwa na blog au mtandao wa kijamii

mfano halisi ni huu mtandao wetu pendwa JAMIIFORUM ni vipi wanapata pesa

ahsanteni
Unaweza tengeneza Pesa tena ndefu ila Sio kirahisi kwamba moja kwa moja unafungua tuu blog na kuanza kuingiza pesa! Hata Jf hawakufika walipo kirahisi Ni lazima uwe mvumilivu na Uitangaze Blog yako na pia Uwe na habari zitakazomfanya mtembeleaji Kurudi tena kwenye Blog yako. Ili kuweza Kuingiza pesa kwa kuanza japo usikose watembeleaji 30,000 Kwasiku.
 
wasalamu wana JF

naomba kuuliza kuhusu ili suala la kugenerate pesa kwa kumiliki blogs na mitandao mingine ya kijamii, mimi sio mjuzi sana wa mambo ya kimitandao ila nimekuwa nikisikia kwamba unaweza kutengeneza pesa kwa kuwa na blog au mtandao wa kijamii

mfano halisi ni huu mtandao wetu pendwa JAMIIFORUM ni vipi wanapata pesa

ahsanteni
utapata pesa kupitia matangazo mbalimbali utakayokuwa ukiyaonyesha kwenye blog yako,mfano mimi natengeneza hadi dollar 200 kwa siku
 
Inamaana kwamba wakitembelea watu 30,000 kwa siku unapata Dollar ngapi kwa siku
 
utapata pesa kupitia matangazo mbalimbali utakayokuwa ukiyaonyesha kwenye blog yako,mfano mimi natengeneza hadi dollar 200 kwa siku
$1=Tshs 2170.76
$ 200= Tshs 434,152
Kwa mwaka ni Tshs 158,465,480
Embu tuambie ni blogg gani au ndio unataka kufurahissha jamvi
 
Ili tutembeleee iyo blog ili upate followers wengi na upate pesa nyingi
 
Labda Milard ayo, Bongo 5, bongo movies na Mwananchi ndio wanapata pesa izo
 
Back
Top Bottom