Msaada white screen kwenye sim

amoneyazan

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
698
469
Habari zenu wadau ..
Kuna tatizo limetokea kwenye sim yangu jana , kwamba kama simu iki lock , halafu niki unlock ina display white screen , Niki touch screen inaanzaa kuleta matangazo ya kudownload apps ambazo sizihitajii
Halii hi hutokeaa kila sim inapoji lock,

Natumia techno phantom 7, sasa sifahamu nini tatizoo au labdaa kuna app nime download ndo ikasbabisha halii hiyo

Nahitajii msaada wa kujuaa nini tatizo na jinsi ya kurekebishaa
Thanks in advance...
0c27a6831fee62ed2184247c793a7ccd.jpg


8a65ab83ee225de0169525ce60ce3606.jpg
 
Umeinstall application gani hizi siku za karibuni? Hiyo app ndio itakuwa inakuletea yote hayo, so fikiria vizuri kabla tatizo kuanza umeinstall nini
 
Umeinstall application gani hizi siku za karibuni? Hiyo app ndio itakuwa inakuletea yote hayo, so fikiria vizuri kabla tatizo kuanza umeinstall nini
Nime install smart lock , na anti mosquito app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom