Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,117
Hivi ninaweza kupost video za watu wengine kwa mfano music,movies or somw thing esle katika youtube channel na nkapiga mitonyo na AdSense kama kawaida au inakuaje kuaje ii wakuu mnweke wazi kidogo jmn