Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Habari za hapa great thinkers..
Kuna Ubisoft ,Bethda,Marvel,na nyingine nyingi
Wakuu kama mbuyu ulianza kama mchicha ..
Vilevile hata kampuni hizo zilianza mbichi kabisa na naamini bado hazijaiva maana bado wana compition kubwa kwenye upande wa games,movies na graphics apps ..
TURUDI BONGO
Najua bongo tuko nyuma ukiangalia katika upande wa graphics vijana wanajaribu lakini wanashindwa kwa kukata tamaa ile nimefuatilia thred chache humu kuna watu baadhi wanaweza kama kwenye EURO TRUCK SIMULATOR na katuni za kibongo na nyingine naona zinarushwa hadi kwenye vipindi vya tv kwa ajili ya kuwafunda watoto lakini bado quality ni ndogo sana.. ILA WATAFIKA TU LAKINI SIO KWA STAIL YA KIKATA TAMAA.
Kwenye topic ...
Mimi napenda sana games,movie ,na graphics lakini katika upande wa kukua kifikra kwenye hivi vitu even hacking najua ni kutokukata tamaa katika kujaribu na kujifunza..
Mimi nataka kubase kwenye games zenye kwality kubwa kama gemu tajwa hapo juu..hili gemu ni adventure game ila liko soecialized katika ooen world..
Sina uwezo sana katika graphics kama hizo nawaomba wakuu mniupgrade masna najua ntaweza tu nataka bongo tufike mbali pia.
Nataka kuwa kuwa specialized kwenye pc games
Wakuu nianzie wap maana kuna software ninazo kama autocard ila naona ni ngumu procedure zake. Na nyingi ni fake nipeni nbinu na maujanja.
Natanguliza shukrani wakuu..