HTC One mini imedondoka kwenye maji

HTC One mini imedondoka kwenye maji

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
10,704
Reaction score
24,471
Msaada wadau simu yangu HTC One mini ambayo battery ni built in imedondoka ndani ya maji kwa mda mfupi sana nifanye vp maana haiwaki na haina mahala pa kutoela battery.
 
Ni built in lakini unaweza itoa kwa kufungua nuts
 
Msaada wadau simu yangu HTC One mini ambayo battery ni built in imedondoka ndani ya maji kwa mda mfupi sana nifanye vp maana haiwaki na haina mahala pa kutoela battery.
wahi kwa fundi mapema kabla haijapata kutu
 
Umakini unahitajika na ukichelewa njia za umeme zitapata kutu.kama sio hivyo nenda tecno offices kwa msaada zaidi.
 
Mkuu kwanza usiwashe na iweke ndani ya mchele kwa siku mbiki
 
Mkuu kwanza usiwashe na iweke ndani ya mchele kwa siku mbiki
Sasa iv ina display ki alama cha [emoji615] Kwenye screen nikiweka charge cjui nn ttzo
 
Back
Top Bottom