Watalamu wa umeme wa solar nisaidieni

Mr Suprize

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
858
937
Habar wakuu
Naomba kuuliza naweza kupata umeme mchana kutwa kwa kuchaji Simu 5 tu za familia na kuwasha taa 4tu walao kuanzia saa1 jion had saa5 usiku kwa solar ya watt 50?
Kama inawezekana ni mahitaji yapi nitahitaji kuwanayo ili hiyo solar ya watt 50 ifanye kazi yake sambamba na malengo yangu?
Itakuwa poa zaidi kama nitapewa na gharama zake...

Natanguliza shukrani zangu
 
Hapo utakuwa unakosea unaposema kwa solar ya watts 50 maana kinachotakiwa kwenye kujua size ya solar module utakayoitumia ni total load yako na backup tym yako unayohitaji baada ya hapo ndio unaweza kujua size ya battery na size ya solar panel itakayoweza kuichaji hiyo battery yako sasa na zani hapo inabidi u specify una load ya kiasi gani in terms of watts maana backup tym ushasema ni masaa 5
 
Mkuu umemjibu kitaalam kidogo but sina hakika kama amekuelewa. Ila mimi nina solar ya watt 80, betri N70. Nawasha taa 5 za watt 3, taa mbili zinakesha hadi asubuhi sababu ni za nje. Nina flat screen ya nch 24 ina watt 32. Kingamuzi watt 15 dvd player watt 15, na subwoofer watt 50 lkn ninapo washa tv na chagua nitumie deki au king'amuzi, na redio inajitegemea lkn haviathiri mm kupata mwanga wa kutosha usiku na moto wa kuchaj simu.
Ni rudi kwenye mada kama mahitaji yako ni taa nne na kuchaji simu hiyo soler ya Watt 59 tafuta betr ya N50 inatosha sana.
 
Inawezekana, ngoja tufanye mahesabu kidogo.

Taa 4 za watts 5 zikiwaka masaa 5,
4X5X5=100 Wh, kucharge simu 5 inawezakuwa kama Ah 15. Basi tufanye matumizi yako ni 150 Wh.

Solar panel yako kama ina 50 watts, basi nunua battery ya 40 Ah ambayo itakupa jumla ya 480 Ah, lakini unashauriwa kutumia 240 yaani nusu yake ili kuifanya battery idumu. Kwa maana hiyo utakuwa na ziada ya 90 Ah.

Vitu unavyotakiwa kuvinunua.
1. Battery 40 Ah.
2. Charger controller 10 amp PMW au MPPT.
3. Waya.
4. Switch
 
Good
Inawezekana, ngoja tufanye mahesabu kidogo.

Taa 4 za watts 5 zikiwaka masaa 5,
4X5X5=100 Ah, kucharge simu 5 inawezakuwa kama Ah 15. Basi tufanye matumizi yako ni 150 Ah.

Solar panel yako kama ina 50 watts, basi nunua battery ya 40 Ah ambayo itakupa jumla ya 480 Ah, lakini unashauriwa kutumia 240 yaani nusu yake ili kuifanya battery idumu. Kwa maana hiyo utakuwa na ziada ya 90 Ah.

Vitu unavyotakiwa kuvinunua.
1. Battery 40 Ah.
2. Charger controller 10 amp PMW au MPPT.
3. Waya.
4. Switch
 
Hapo utakuwa unakosea unaposema kwa solar ya watts 50 maana kinachotakiwa kwenye kujua size ya solar module utakayoitumia ni total load yako na backup tym yako unayohitaji baada ya hapo ndio unaweza kujua size ya battery na size ya solar panel itakayoweza kuichaji hiyo battery yako sasa na zani hapo inabidi u specify una load ya kiasi gani in terms of watts maana backup tym ushasema ni masaa 5
Mkuu mm sijui kabisa namna ya kucalculate mambo ya umeme,,,ndo nimeweka wazi vitu ambavyo nitavitumia,,,

Hata hivyo nashukuru kwa mchango wako
 
Mkuu umemjibu kitaalam kidogo but sina hakika kama amekuelewa. Ila mimi nina solar ya watt 80, betri N70. Nawasha taa 5 za watt 3, taa mbili zinakesha hadi asubuhi sababu ni za nje. Nina flat screen ya nch 24 ina watt 32. Kingamuzi watt 15 dvd player watt 15, na subwoofer watt 50 lkn ninapo washa tv na chagua nitumie deki au king'amuzi, na redio inajitegemea lkn haviathiri mm kupata mwanga wa kutosha usiku na moto wa kuchaj simu.
Ni rudi kwenye mada kama mahitaji yako ni taa nne na kuchaji simu hiyo soler ya Watt 59 tafuta betr ya N50 inatosha sana.
Kikweli amejibu kitaalamu kama usemavyo mkuu ,, sasa mimi sio mtaalamu Wa mambo hayo nimeshindwa kumuelewa...
 
Inawezekana, ngoja tufanye mahesabu kidogo.

Taa 4 za watts 5 zikiwaka masaa 5,
4X5X5=100 Ah, kucharge simu 5 inawezakuwa kama Ah 15. Basi tufanye matumizi yako ni 150 Ah.

Solar panel yako kama ina 50 watts, basi nunua battery ya 40 Ah ambayo itakupa jumla ya 480 Ah, lakini unashauriwa kutumia 240 yaani nusu yake ili kuifanya battery idumu. Kwa maana hiyo utakuwa na ziada ya 90 Ah.

Vitu unavyotakiwa kuvinunua.
1. Battery 40 Ah.
2. Charger controller 10 amp PMW au MPPT.
3. Waya.
4. Switch
Mkuu nashukuru sana kwa jibu lako ,,,
Ubarikiwe.
 
Mkuu nashukuru ,,, samahani mkuu betri na hiyo charger contoll vinaweza kugharimu sh ngap kwa kila moja?
 
Mkuu umemjibu kitaalam kidogo but sina hakika kama amekuelewa. Ila mimi nina solar ya watt 80, betri N70. Nawasha taa 5 za watt 3, taa mbili zinakesha hadi asubuhi sababu ni za nje. Nina flat screen ya nch 24 ina watt 32. Kingamuzi watt 15 dvd player watt 15, na subwoofer watt 50 lkn ninapo washa tv na chagua nitumie deki au king'amuzi, na redio inajitegemea lkn haviathiri mm kupata mwanga wa kutosha usiku na moto wa kuchaj simu.
Ni rudi kwenye mada kama mahitaji yako ni taa nne na kuchaji simu hiyo soler ya Watt 59 tafuta betr ya N50 inatosha sana.
Mkuu nashukuru,,, umesema nahitaji kuwa na betri ya N50 vp hakuna vifaa vingine vinahtajika hapo?
 
Mkuu nashukuru ,,, samahani mkuu betri na hiyo charger contoll vinaweza kugharimu sh ngap kwa kila moja?
Nunua battery ya Deep Circle Dry Cells, kwa sasa battery nzuri ni zile za Ritar na Su kam, kuna battery nyingine za Victron hizi ni ghari sana maana zenyewe ni AGM.

Charger Controller unaweza kupata kwa kati ya 70, 000- 100,000, battery utapata kwa 150,000 au inawezakuwa mapungufu au ikaongezeka kulingana na ubora wake.
Kuhusu waya itategemea na Nero lako la nyumba litakuwa na urefu gani.

Hizi bei nilizokupa ni za hapa Dar es salaam.
 
Ok nashukuru sana,, ViP kuhusu inverter au haitajiki kwa system yangu?
 
Inategemea, kama una vifaa/kifaa kinachotumia AC POWER utahitaji inverter, kwa kuwa system yako ni ndogo tafuta inverter ndogo isiyotumia fan, maana inverter nayo inakula umeme.
 
Inawezekana, ngoja tufanye mahesabu kidogo.

Taa 4 za watts 5 zikiwaka masaa 5,
4X5X5=100 Ah, kucharge simu 5 inawezakuwa kama Ah 15. Basi tufanye matumizi yako ni 150 Ah.

Solar panel yako kama ina 50 watts, basi nunua battery ya 40 Ah ambayo itakupa jumla ya 480 Ah, lakini unashauriwa kutumia 240 yaani nusu yake ili kuifanya battery idumu. Kwa maana hiyo utakuwa na ziada ya 90 Ah.

Vitu unavyotakiwa kuvinunua.
1. Battery 40 Ah.
2. Charger controller 10 amp PMW au MPPT.
3. Waya.
4. Switch
Mkuu haya mahesabu yako hayajakaa kiufundi kabisa utasemaje ukizidisha watts na hours jibu liwe interms of Ah?? Mm nazani hapo jibu lako lilitakiwa liwe Wh so hizi hesabu hazipo katika format inayotakiwa kiufundi na international standard of units
 
Mkuu cyber ghost, nimefurahi kwa kunisahihisha, ni Wh.
 
nunua taa nne za watt 1,kwa masaa matano zitatumia watt 20. pia utanunua charger ya simu ya dc inauzwa 4000 - 5000,wastani wa simu tano ni watt 25. kwa hiyo mahitaji yako ya siku ni watt 45 jumla.
kanunue solar panel ya watt 15 inauzwa 40 elfu.betri ya 12 ah inauzwa 40 ah,na waya kulingana na mahitaji yako. kwa battery hiyo utakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa watt 144 wakati wewe mahitaji yako ni watt 45.hizo nyingine utafanyia mambo yako mengine
 
Asante sana mkuu kwa elimu nzuri,,,hv Hyo charger ya Simu DC c ni kama zile za kawaida au ni tofaut mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom