Software Ya Kuboost Chaji Ya Simu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,291
2,466
Wakuu Nina Samsung Yangu Mpya Galaxy J5. Kiukweli Inatunza Chaji Pale Ambapo Huitumii Ila Ukianza Kuigusa Basi Unaona % Za Chaji Zinavyoshuka.

Kwa Wenye Kujua App Gani Nzuri Ya Kutumia Ili Kuhifadhi Chaji Na Kutumia Simu Kwa Uhuru Plz.

Pia Nadhan Gsmarena Hawako Sahihi Kwenye Specification Za Simu. Mfano Kwenye Hii Galaxy J5 wameandika Betri Yake Ni 3100 mAh Wakati Kiuhalisia Ni 2600 Mah
 
Battery doctor nenda play store
 
Mkuu ulaji wa betrii kwa simu ni matumizi yako tu kaka
Unapaswa kujua vitu gani vina kukala sana chaji ili angalau uweze kujikontro kidogo

Kwanza tambua hakuna smartphone duniani inaweza kukizi mahitaji ya mtumiaji mkubwa wa simu

Hizo apps unazo uliza zinafanya kile hata wewe unaweza kufanya,
Jaribu kupunguza matumizi ya simu yasio na ulazima haswa social network
Vinginevyo tafuta power bank au ukikaa ofisini au nyumbani simu iwe kwenye chaji huku unatumia
Hakuna apps inaweza kutatua tatizo lako zaidi ya wewe kujikontroo
 
Ukweli hilo nimelitambua. Ishu kubwa kama ulivyosema ni kudhibiti matumizi tu
 
Samsung wamefail sana katika swala zima la betr ila nakushauri weka Power saving On hiyo itakusaidia kidogo
 
Vitu vya msingi:

1. Zima GPS au Location
2.punguza mwanga atleast mpaka 25%
3. Kama unauwezo Tumia WiFi badala ya 3g utaona charge ina kaa sana
4. Kumbuka application kama snapchat, Facebook zinakula sana charge huwezi amini so kama unazo hii ni sababu ya charge kushuka kwa wingi.

Na kama vyote havisaidii tafuta Application inaitwa Greenify; hii sio kama hayo ma Du sijui speed booster ambayo hayasaidi chochote zaidi ya kula ram na charge.. Hii application inafanya application zisifanye kazi katika background.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom