Msaada: Simu haisomi internet connection nikiweka laini ya halotel

Ta-kibombo

JF-Expert Member
Dec 4, 2015
643
500
Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet unasoma.pia simu hiyo hiyo nikiweka laini nyingine internet connection unasoma vizuti tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Angalia kwenye acces point kama zipo sawa nenda setting/more/ mobile network uangalie kama Apn zipo. Kama hazipo inabidi u Add
 
Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet unasoma.pia simu hiyo hiyo nikiweka laini nyingine internet connection unasoma vizuti tu
Simu yako haina internet configuration ya mtandao wa halotel, unahitaji ku-install manually(hizo configurations) mkuu.
 
APN hazipo na add VIP mkuu
6df43b8aa2ca6da88dc32b8bee6ce046.jpg
 
Wadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja
 
Kesho asubuhi nenda centre yoyote ya halotel
 
Wadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja

Unatumia simu gani?
 
We

Weka laini ya halotel kisha nenda kwenye APN kama huoni kitu bonyeza menu button kwenye simu yako (yaani chini maana kuna back home na menu). Ukifanya hivyo yatajitokeza maneno add APN/newAPN click kisha fuata maelekezo ya wadau hapo juu kuweka APN za halotel.
 
Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet unasoma.pia simu hiyo hiyo nikiweka laini nyingine internet connection unasoma vizuti tu
Mpaka uset mi almanusura nivunje simu
 
Wadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja
Ni simu gani
 
We

Weka laini ya halotel kisha nenda kwenye APN kama huoni kitu bonyeza menu button kwenye simu yako (yaani chini maana kuna back home na menu). Ukifanya hivyo yatajitokeza maneno add APN/newAPN click kisha fuata maelekezo ya wadau hapo juu kuweka APN za halotel.
Sawa Kabisa zitakuja hata mm Kuna siku ili isumbua
 
Back
Top Bottom