memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 256
- 163
Nina vodafone 785, ilikuwa inafanya kazi vizuri sana lakini kuna siku niliconnect na desktop yangu nikaletewa ujumbe format phone memory bila ajizi mzee nikaiformat lahaula!!!! nilivyodisconect na desktop simu ikakaa kidogo ikazima ndo MAZIMA hadi leo haijawaka, ila ukiweka chaji mfano kuna kitaa cheupe kinawaka vizuri lakini simu imebrick,mafundi walijaribu kuangalia kama ni hardware au switch ila kila kitu kizima.
Sasa nifanyeje jamani maana mi nahisi ni software problem, au ndo niite marehemu jamani HELP HELP HELP jamani kananiuma
Sasa nifanyeje jamani maana mi nahisi ni software problem, au ndo niite marehemu jamani HELP HELP HELP jamani kananiuma