Msaada akaunti yangu ya facebook imekuwa hacked

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
993
1,326
Habar zxaiv wakuu tatizo ni ili kila ninapo ingia fb, Nikisha log in ina andika security na chini panakua na submit nime change password kama mara hamsini ivii... bado tatizo nilile lile
 
Unatumia kifaa gani?
Hakikisha saa na tarehe vipo sawa. Hakikisha unatumia latest browser
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom