mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Habari za jioni wandugu nitumie app gani kuifadhi picha na video kawaida na sio online kwenye smartphone lakin hiyo app nikitaka kuifungua iwe na password
dropbox, box na nyingine wadau watakuelekezaHabari za jioni wandugu nitumie app gani kuifadhi picha na video kawaida na sio online kwenye smartphone lakin hiyo app nikitaka kuifungua iwe na password
Tena aipate premium ndio atakula maisha.vault mwsho wa reli..unaeza ukafcha sms contacts pcha vdeo nk..ipo plystore