Msaada: Lumia 535 inajiwasha na kujizima yenyewe

Pangah2011

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
260
213
Nina simu lumia 535 inajizima kila baada ya masaa mawili nakuji washa yenyewe, nimejari kuchek kwenye simu kama kuna option yakuifanya izime na kuwaka lakini sijaiona hiyo option.
Nimei restore zaidi ya mara moja lakini tatizo limekuwa endelevu.
Mwenye kufaham anisaidie.
 
Chief mkwawa nina simu ya microsoft lumia 640XL ila simu hii picha inazopiga siyo nzuri kabisa inazidiwa na hata techno j5 kwa ung'arishaji wa picha ingawa simu yangu ina megapixel 13, tatizo ni nini?
haiwezekani mkuu hio ni moja ya simu yenye camera nzuri (japo megapixel si tija)

1. unatumia app gani kupiga picha? tumia lumia camera au kama ni wale wa selfie download camera 360 store

2. kama bado angalia camera kwa mbele kama ina ukungu au imezibwa zibwa.
 
chief kuna lumia 900 windows 7.1 inanambia "no updates found", lengo langu ni kuupdate ili nipate apps kama Instagram
 
Mkuu naomba msaada siku yangu Microsoft Lumia 640xl Ina memory ya ndani ya
haiwezekani mkuu hio ni moja ya simu yenye camera nzuri (japo megapixel si tija)

1. unatumia app gani kupiga picha? tumia lumia camera au kama ni wale wa selfie download camera 360 store

2. kama bado angalia camera kwa mbele kama ina ukungu au imezibwa zibwa.

Mkuu naomba msaada simu yangu inatatizo la kuniandikia kuwa internal memory is full sasa nimeingia kwenye storage sense imeniandikia app imetumia 2.6gb na system imetumia 5gb wakati memory ina 8gb nifanyeje ili nipunguze kwenye hiyo system
 
Mkuu naomba msaada siku yangu Microsoft Lumia 640xl Ina memory ya ndani ya

Mkuu naomba msaada simu yangu inatatizo la kuniandikia kuwa internal memory is full sasa nimeingia kwenye storage sense imeniandikia app imetumia 2.6gb na system imetumia 5gb wakati memory ina 8gb nifanyeje ili nipunguze kwenye hiyo system
lumia? nenda storage sense hamisha app kwenda sd card au eka sd card kama default storage app mpya zitaingia huko
 
Nina simu lumia 535 inajizima kila baada ya masaa mawili nakuji washa yenyewe, nimejari kuchek kwenye simu kama kuna option yakuifanya izime na kuwaka lakini sijaiona hiyo option.
Nimei restore zaidi ya mara moja lakini tatizo limekuwa endelevu.
Mwenye kufaham anisaidie.

Hiyo simu ni mpya? Bado hujafanya updates. Hizo simu na baadhi ya lumia zingine zinakuwa na hilo tatizo . Na solution yake ni kufanya update.
 
Back
Top Bottom