Ufumbuzi huu utakuwa msaada mkubwa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Laptop yangu ishawah kuungua kitu flan ndan nikapeleka kwa fundi akabadilisha akarudisha. Imerudi ina tatizo la mouse ina stuck. Unapowasha mara ya kwanza inafanya kazi kidogo then ina stuck mpaka nitumie external.Nami sipend kutumia external. Nimejaribu ku install os na ku unistall bado haijasaidia kitu
 
Hiyo ni Toshiba? Kiufupi hiyo laptop inaonyesha ni ya mda mrefu na hivyo imeshaanza kuchoka we endelea tu kutumia external Kama mbadala.
 
Ni Toshiba. ila sijajua kipimo cha muda mrefu. maana toka niinunue mpya kabisa ni mwaka na mwez mmoja. na kabla ya hii nlishawah kukaa na toshiba nyingine miaka 3 mpaka nikaamua kuiihifadhi tu ili nimpe mtoto ajifunzie. nimeshanunua Toshiba kama mara 4 hivi nikianza na kipindi kile cha Toshiba Tecra miaka ya 2000s . so kuhusu muda mrefu labda unambie kipimo chake ni nini. na hili tatizo lilitokea baada ya kuwa mara flan ilipata shoti nikaipeleka kwa fundi mmoja ambaye alibadilisha kitu flash kwenye motherboard. ikarudi ikawa ndo ina misbehave namna hiyo.

actually sijazoea kutumia external na si mpenzi maana pia inanipa kazi ya kuibeba kila wakati na wakati mwingine naisahau.binafs ni ngumu kunitenganisha na laptop kila ninapoenda nakuwa nayo.


Hiyo ni Toshiba? Kiufupi hiyo laptop inaonyesha ni ya mda mrefu na hivyo imeshaanza kuchoka we endelea tu kutumia external Kama mbadala.
 
Back
Top Bottom