Msaada jinc yaku un-lock router ya Vodacom

Babu_Jr

Senior Member
Apr 13, 2016
114
26
46424285a72a2443cdbf591f977f99db.jpg




Hiii apaa juu..
 
loohhh mm mwenyewe ninacho hichohicho nataka niweke line yangu ya halotel humo lakini nashindwa kwasababu hakija unlokiwa
 
nijaribu kufanya hivi ukichukua line ya mrltandao tofauti na Vodacom inakudai unlocking codes sasa nitumiaga application (calculator)moja lakini haiku succeed
 
kama ukipata solution na mm imei ni hii hapa 357549053343088
 

Attachments

  • 1462560351456.jpg
    1462560351456.jpg
    22.7 KB · Views: 45
Simple kma inadai unlock code,tafuta calculator ya new algo,itakupa correct code,
 
Back
Top Bottom