Nimekupata vizuri yaani kimsingi nimekosea kudhani sd 823 ni chini ya 820. Nimegundua baada ya kupost. Ningekuwa na uwezo wa kuifuta usingeiona hii thread.sasa mkuu kama 820 ina nguvu huoni 823 itakuwa na nguvu zaidi? hio soc ya 823 (au jina lolote itakayoitwa hapo baadae) haijatoka bado, itatoka baadae mwakani.
kwa competition ya sasa kutoa simu yenye soc ya kizamani ni kama kujitoa kafara
kwenye s6 wanatumia zote mbili na snapdragon 820 imeipita hio exynos kwenye gpu na single thread perfomance wakati exynos yenyewe ina multi threaded perfomance kubwa.I think exynos 8890 ndo nzur zaid..maana ina lightning speed... Wakiweka snapdragon wasahau kushindana na Apple's A9 or whatever is coming
Mkuu Chief-Mkwawa naomba unijuze hili japo kwa ushauri. Hivi note 3 korean version zina speed ya 2.3Ghz na kurun Snapdragon kama zilivyo matoleo ya marekani?. Maana naskia kuna zenye Octa Exynos ambazo haziclock zaidi ya 1.9Ghz.sasa mkuu kama 820 ina nguvu huoni 823 itakuwa na nguvu zaidi? hio soc ya 823 (au jina lolote itakayoitwa hapo baadae) haijatoka bado, itatoka baadae mwakani.
kwa competition ya sasa kutoa simu yenye soc ya kizamani ni kama kujitoa kafara
Mkuu Chief-Mkwawa naomba unijuze hili japo kwa ushauri. Hivi note 3 korean version zina speed ya 2.3Ghz na kurun Snapdragon kama zilivyo matoleo ya marekani?. Maana naskia kuna zenye Octa Exynos ambazo haziclock zaidi ya 1.9Ghz.
Msaada wa kiutaalamu mkuu. Na je ni nzuri hizo korean version?. Band za LTE zinaweza fanana na za mitandao ya simu ya Tanzania?
Asante mkuumkuu ghz nyingi haimaanishi kwamba processor ni nzuri. ghz inaleta maana pale tu inapokuwa architecture ni moja. mfano chip mbili za snapdragon 800 moja ikiwa 1.5ghz na nyengine 2.0ghz basi ile yenye ghz nyingi itakuwa na nguvu zaidi ila ikiwa moja ni exynos na nyengine snapdragon ghz si kigezo kizuri.
most of time soc za snapdragon zinakuwa na single thread perfomance kubwa, gpu kubwa na multithread perfomance ndogo sababu zinakuwa na core chache. wakati exynos yenyewe multithread perfomance inakuwa kubwa sababu ina core nyingi.
kujua kama inasuport band za kwetu huku itabidi uijue exactly ni modal ipi sababu hata hizo za exynos ni nyingi
nenda setting then about halafu utaiona aina yake mfano N9005