Rai Pazzy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 493
- 186
Habari za humu ndugu zangu
Ipo hivi nina simu yangu ambayo ni TECNO F5 ambayo nilipenda sana nitumie huduma ya 4G katika setting zangu ina Sehemu imeandikwa LTE ambayo ni 4G sasa tatizo lipo kwamba niliwahi kwenda tigo wakaniambia simu yangu haisupport
Hii inakuwaje na kwenye setting zangu wameandika GSM/VCDMA/LTE nielewesheni hapo