FM Radio Recorder

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
271
273
Habari Wakuu,
Mwaka jana nillikuwa natumia Huawei y221, nilikuwa nikisikiliza Radio naweza kurekodi sasa hivi natumia Huawei Y560 Lakini kwenye FM Radio hakuna sehemu ya kurekodi hivyo nashindwa kurekodi pale ninapohitaji, je kuna apk yoyote inayoweza kunisaidia kurekodi Radio, Msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom