Muonekano mpya wa instagram unavutia?

Eric Mkomoya

Member
Oct 10, 2014
55
56
Mtandao maarufu wa picha duniani instagram wenye watumiaji zaidi million mia tano dunia nzima umetambulisha muonekano mpya siku ya Jumatano may 11,2016.

Katika muonekano huo mpya aplikesheni hii iliyoanzishwa mwaka 2010 kwa mara ya kwanza na Kevin Systrom pamoja na Mike Krieger imekuja na muonekano wa rangi nyeupe na nyeusi (black and white) lakin pia nembo ya mtandao huo imebadilika imekua ndogo zaidi bila haijaacha umbo la nembo ya zamani.

Kampuni hiyo ina imetambulisha rangi zaidi katika nembo mpya ikilenga kuvutia watumiaji wa aplikesheni yao.

1771955d8e24fc0f00bec12a78eff527.jpg
 
instagram wakijaribu tu kuweka option ya ku UPLOAD picha au video kwenye website yao, bas ndo itakua kifo cha application yao. watu watahamia kwenye web.Raha ya insta utumie app yao na upate special features zote kwenye app hiyo.
 
Back
Top Bottom