commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,624
- 870
WAKUU SALAMU
Nina shida inanisumbua takribani wiki sasa nina PC HP, tatizo nililo nalo ni hili
Nikiwa kwenye word document, nikitaka kuedit maneno, nikichukua cursor nikaweka katika ya maneno kisha nikipress enter kasa inahama mbali, hata kama nilikuwa MWANZO MWA MSTARI nikipress enter Cursor ina kwenda mwishoni, hivyo kila napopiga enter baina ya maneno kasa inakwenda mbali, kama usipokuwa makini unaweza kuta unaendela kutype tu lakini unatype pasipo takiwa. Kwa kweli naandika kwa shinda mno ndugu zangu. Yaani ili niweze kuandika au kuepuka hii kadhia basi nisije kurudia kuedit hiyo kazi.
WADAU MSAADA TAFADHALI, SHIDA NI NINI, Nime google sana nakutana na software inaitwa Touch Free nimeiajaribu wapi.Pia ukiiweka kasa mwishoni mwa mstari ukipiga enter inaruka hata mistari 4 hivi kuja chini
-Wakati mwingine nikiiweka kasa katikati ya maneno unakuta ile kasa inakuja na kivuli kama cha bluu hivi inafunika herufi iliyo karibu hapo, kwahiyo nikitaka kubadili herufi hata kama ni moja tu
, unakuta hiyo herufi ntakayoiingiza hapo itafuta ile herufi ya pili/ya mbele yake, hivyo kila unachotatype kinafuta hilo neno/herufi iliyo mbele ya lingine
Natanguliza shukrani
MSAADA TAFADHALI SANA
Chief-Mkwawa, Njunwa Wamavoko, snipa, Mwl.RCT, Paje, Nyasiro, kadoda11