'SQL injection' ilivyoibua uvundo wa PanamaPapers

kaachonjo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
203
68
wanausalama wa mambo ya mitandao wanaelewa hii janja inayoitwa "SQL injection". sasa kwa taarifa tu ni kwamba lile sakata la panama papers liliibuliwa baada ya njia hii kutumiaka kuingilia mitandao wa Mossack Fonseca iliyokuwa na nyaraka hizo muhimu. Ajabu ni kwamba 'wenyewe' wanasema ni baada ya uchunguzi wa 'waandishi wa habari wasio na mipaka' ! hapo journalism haijatumika kabisa bali ni ‪#‎hacking_Method‬ ndiyo iliyofichua uozo huo.

anyway labda nikupatie taarifa kwa ufupi tu kwamba makosa yaliyofanyika mpaka "SQL injection" ikawaumbua ni pale ilipo-update system yao [cms] na wakasahau ku-secure directory iliyojulikana kama "/onion/.." hii ni kwa mujibu wa "1×0123" ambaye ali-tweet kwamba nanukuu

@1×0123:“They updated the new payment CMS, but forgot to lock the directory /onion/,”
------
SQL_Injection.jpg

-->anyway kwa sheria za tanzania na maadili ya matumizi na watumiaji wa computer(Computer Ethics/cyber Ethics) ni kosa la jinai kuingilia mifumo ya mawasiliano/Hacking ikiwamo computer na vifaa vyake.

--> pia ni muhimu sana taasisi zetu za fedha na usalama wanapaswa kuwa na uwezo mkubwa wa kulinda mifumo yao ya "data".

--> uwekezaji kwenye masuala ya usalama wa mitandao ni muhimu sana kwa nyakati hizi ambapo za watumiaji wa mtandao wamefikia 3,424,971,237 sawa na 46.1% ya watu wote duniani 7,432,663,275 kwa sasa.

Hivyo basi watu 4,007,692,038 tu ndio kwa sasa hawajaingia mtandaoni.

Takwimu hii ni kwa mujibu wa ‪#‎internetlivestats‬
 
Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...Na wale waliobainika kutoka huku kwetu kuwa nao wamehifadhi sheheni zaoza fedha huko majina yao yameshawekwa hadharani?
 
wanausalama wa mambo ya mitandao wanaelewa hii janja inayoitwa "SQL injection". sasa kwa taarifa tu ni kwamba lile sakata la panama papers liliibuliwa baada ya njia hii kutumiaka kuingilia mitandao wa Mossack Fonseca iliyokuwa na nyaraka hizo muhimu.--- ajabu ni kwamba 'wenyewe' wanasema ni baada ya uchunguzi wa 'waandishi wa habari wasio na mipaka' ! hapo journalism haijatumika kabisa bali ni ‪#‎hacking_Method‬ ndiyo iliyofichua uozo huo.

anyway labda nikupatie taarifa kwa ufupi tu kwamba makosa yaliyofanyika mpaka "SQL injection" ikawaumbua ni pale ilipo-update system yao [cms] na wakasahau ku-secure directory iliyojulikana kama "/onion/.." hii ni kwa mujibu wa "1×0123" ambaye ali-tweet kwamba nanukuu
@1×0123:“They updated the new payment CMS, but forgot to lock the directory /onion/,”
------View attachment 347362
-->anyway kwa sheria za tanzania na maadili ya matumizi na watumiaji wa computer(Computer Ethics/cyber Ethics) ni kosa la jinai kuingilia mifumo ya mawasiliano/Hacking ikiwamo computer na vifaa vyake.
--> pia ni muhimu sana taasisi zetu za fedha na usalama wanapaswa kuwa na uwezo mkubwa wa kulinda mifumo yao ya "data".
--> uwekezaji kwenye masuala ya usalama wa mitandao ni muhimu sana kwa nyakati hizi ambapo za watumiaji wa mtandao wamefikia 3,424,971,237 sawa na 46.1% ya watu wote duniani 7,432,663,275 kwa sasa. hivyo basi watu 4,007,692,038 tu ndio kwa sasa hawajaingia mtandaoni.
takwimu hii ni kwa mujibu wa ‪#‎internetlivestats‬
Kwani nani kasema ni bank.
Umekurupuka wakati kinacho ongelewa hapa hata hujakielewa
 
Back
Top Bottom