Haya matangazo ya gugo yamezidi kwenye simu yangu

motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,019
705
Naomba msaada anaejua namna ya kustopisha haya matangazo kozi ni shida mtu uko jf unachat mara 'install battery saver' hujakaa facebook limeziba screen nzima ni kero sasa.

Ebu anaejua add broka nzuri anijulishe pia coz nyingi ni mizengwe tu.
 
root simu..tumia adaway
3113823b6c15ff6a80b6b3dad74a41f4.jpg
 
Back
Top Bottom