Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Baada ya kuhadaa watu kwa muda mrefu na kutengeneza faida ya kufa mtu kwa kutumia teknolojia ambayo wala siyo mpya Kampuni ya Apple inc. sasa imeanza kushtukiwa, watu wameanza kuamka na kujiuliza kama kweli wanahitaji kulipa dola (US) mpaka 800 kwa kimkebe tu cha simu ambacho karibia asilimia 80 ya vitu ilivyonavyo hauvihitaji!
Sasa Apple inc. kwa mara ya kwanza wameanza kupata hasara kwani wanunuzi wamepungua sana tu, lkn Binadamu wameanza kuerevuka wkt Apple ashatajirika tayari na wala hawahitaji tena!
Sasa Apple inc. kwa mara ya kwanza wameanza kupata hasara kwani wanunuzi wamepungua sana tu, lkn Binadamu wameanza kuerevuka wkt Apple ashatajirika tayari na wala hawahitaji tena!