Fundi wa sound system

NkumbiSon

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
2,390
3,332
wapendwa ni wapi nitampata fundi au karakana ya mafundi wa vifaa vya umeme hasa upande wa mfumo wa sauti.
Walio na uwezo wakuagiza kifaa kama hapa bongo hakitapatikana kwa ajili yakukibadilisha na kilicho na tatizo.
Nilikua napajua panasonic tu pale posta sa siku hizi hawapo tena.
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom