Msaada: External yangu haitaki kucopy mafile

Chrizo

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
714
792
Nina external hard disk aina ya toshiba 500gb.kila nikijaribu kucopy vitu inaandika invalid MS-DOS function. Msaada wenu juu ya hili
ImageUploadedByJamiiForums1459417902.601300.jpg
 
fungua my computer kisha ileft ckick hiyo disk kisha PROPERTIES halafu nenda kwenye .TOOLS .CLICK KWENYE DEFRAGMENT NOW
chagua hiyo disk yenye tatizo kisha ioptimize ikimaliza kabisa RESTART PC YAKO inakua tayari
partition-properties-tools-win-7.png


4-Optimize-Hard-Drive-Windows-8.png
 
Tatizo ni external hard disk nikienda kwenye diskpart haiwi displayed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom