Msaada wa kupata android version mpya kati ya 5 au 6

Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,565
3,730
Habari wana jamvi

Natumia LG G2 ina android version 4.4.2,nataka nipate latest version kati ya 5 au 6 .
Naombeni msaada
 
Back
Top Bottom