Memory card yangu itakuwa na tatizo gani?

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
Habari wandugu memory card yangu nikiichomeka kwenye deki huwa inataka kusoma alafu inakataa inaweza ikawa inatatizo gani
 
Itakua iko na virus, na hicho unachotaka kuangalia je deck yako inassuport format ya vitu unavyotaka kusikiliza au kuona kwa kupitia deki
 
Habari wandugu memory card yangu nikiichomeka kwenye deki huwa inataka kusoma alafu inakataa inaweza ikawa inatatizo gani

Angalia content zako na jaribu kupunguza nakuziweka katika mtiririko sahihi, i mean Video na Audio.
Deki nyingi za wenzetu China zinashIndwa kudecode data kama umezidisha sana, au hazina mtiririko sahihi.
Pia ningekushauri USITUMIE SD CARD kama FLASH.
 
Back
Top Bottom