Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,291
- 2,466
Nimeroot Simu Yangu Leo, Haina Hata Wiki.
Nimefanikiwa Vizuri Ila Nilipozima Kuichaji, Ile Inataka Kuwaka Ikaja Alama Ya Mshangao Ya Njano Na Maandishi Juu Yake; Custom Binary Blocked By Fpa.
Chini Yake Kuna Maandishi Madogo Mekundu Yanasomeka Secure Fail: Kernel.
Simu Haifanyi Chochote Na Screen Ni Black Ikiwa Na Hiyo Alama Ya Mshangao.
Msaada Tafadhali
------------------------------------------
UPDATE
Nimefanikiwa kwa utundu wangu kufufua simu yangu baada ya mafundi kushindwa na wengine kunitajia bei juu sana, nikaona nijaribu mwenyewe. Simu ni nzima kabisa. Natoa somo kwa wadau humu. haya mambo ya kuroot simu kama huna utaalamu wa kutosha wa masuala ya software itakukost. Tumia simu kulingana na viwango vya mtengenezaji. Ni hayo tu