Naomba kujua eneo waliopo HP Centre apart from Muhimbili

alexis jr

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
393
343
i had a pc bahati mbaya imepatwa tatzo nahitaji motherboard mpya frm hp but muhimbili ckufanikiwa hvo naomba msaada ka kuna sehemu nyingine mjini dar es salaam
 
Kama ni 4th generation ni vigumu kupata motherboard mpya mkuu. Kama una subira ni bora ukaagiza mwenyewe online. Inachukua kama wiki mbili hadi ikufikie mkononi.
 
Back
Top Bottom