Msaada katika HTC ONE M8!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Naombeni msaada kuna simu HTC ONE M8 zilikuja zile updates za kwenye simu sasa katika harakati za kuupdate nilidownload na kuinstall! Baada ya hapo wakati na install simu ikazima ghafla na kuanza kusumbu haikuwaka tena sasa inawaka inaishia tuu kwenye neno HTC nimejaribu kuweka katika recovery mode lakini nikiifanyia factory reset inakataa inazima nikiifanyia recover inakaa mda mrefu bila kufanya chochote hadi inajizima

Sasa naombeni msaada niifanyaje sitaki kuipeleka kwa fundi nataka niishughulikie mwenyewe kupitia jukwaa hili msada tafadhari kama kuna uwezekano wa kuflash mm mwenyewe naomba msaada pia au tatizo lakr ni nini

2946178a847ea9161744a728f2bfa0f2.jpg
cb8426fb6e90dfeae262c93097110c12.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom