Baada ya kuinstall tracking app

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433


Baada ya kuinstall ile app ya tracking sasa naleta mrejesho na maoni yangu juu ya app hii.

Nazidi kusisitiza kua app hii si ya kuitumia kimzaha kwani inaweza ikakuletea matatizo kadhaa ikiwepo kufungwa. Haya sasa tuendelee.

Baada ya kuinstall kwenye sim yangu kwa muda niliamua pia kuinstall kwenye sim ya rafiki angu bila kumtaarifu ili kuona utendaji kazi wake. Mpaka sasa naweza sema kwa asilimia 90% imeniwezesha kumfatilia na kujua mienendo yake mingi sana. Nimeweza kuskia maongezi yake na kuona Jumbe zake (Nilifanya hivi kwa majaribio na misho nilimtaarifu)......... READ MORE
 
Somo lijalo litakuja na jinsi ya kutumia sim ya victim kutecord audio
Stay tuned for more
 
Back
Top Bottom