Ufahamu zaidi kuhusu TECHNO BOOMJ8

chox1285

Member
Jan 9, 2016
20
6
Naomba kwa mtu anayefahamu vitu vya ziada zaidi ninavyoweza kufanya kwaaji ya ulinzi wa simu ikiibiwa au mtu akitaka kufungua taarifa za simu yangu,nawasilisha
 
Naomba kwa mtu anayefahamu vitu vya ziada zaidi ninavyoweza kufanya kwaaji ya ulinzi wa simu ikiibiwa au mtu akitaka kufungua taarifa za simu yangu,nawasilisha

Root, then Install avast antitheft. Then unaiweka inakuwa HarD Reset Proof.

Sifa zake:
- mtu ukibadili simcard simu inadai password huku ikituma sms kwenda kwenye namba uliyoiweka.

- ukifanga Factory reset haitoki,

- ukibadili simcard inaforce Data/Wifi iwe On. Na inatrack location na kutuma kwenye email.

-ukibadili simcard simu inapiga alam.
-kwa free version unaweza kuLock application moja kama vile gallery au messages
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom