Mzumbe site-Dar campus is hacked?

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
jamani hivi sahizi ukifungu a site yao una pigwa na porn za ajabu ajabu sijui kama wanajua....hata ukisearch google wanakuambia this site may have been hacked!...check now

update
ukifungua link yao directly inafunguka ukifungua kwa kusearch google ndio inakuwa redirected kwenye site za ajabu.

update
wameblock access ya site yao, ni jambo jema na zuri, pongezi kwa JF kumbe taarifa zinawafikia wahusika mapema aisee safi sana ila hata hela ya bia moja sijapata!!
 
Nimefata link hapo hakuna damages yoyote. Site inafanya kazi vema.
 
proof from google
 
Attachments

  • mzumbe.png
    mzumbe.png
    9.3 KB · Views: 45
hapana mkuu siwezi kuwa chizi kwa kiasi hicho
nilikuwa naangalia entry qualification zao
 
Attachments

  • New Bitmap Imagemmm.jpg
    New Bitmap Imagemmm.jpg
    47.4 KB · Views: 45
Naona wewe ndo umefanya
root blaza..unataka nikanyee debe mkuu...kuna mbuu kule balaa hakuna heinken kule..hakuna chips zege walaa mchemsho wa sato...sio mie bwana mi nimereport tu hapa jukwaani....au hujui wabunge na tcra wapo humu...protect the whistle blower my friend. au kwa sabu signature yangu inasema mambo ya hacking?!
 
Hiyo ya Mzumbe - Dar Campus its true iko hacked. Ukiifungua inakuletea vitu sivyo vya academics...Hapo ukute kuna system admnistrators...wamezidiwa ujanja na ni sababu tosha kutumbuliwa hao.
 
nadhani wamegundua tatizo lao na wameblock access ya website yao saa hii.

ukifungua ina leta meseji
 
Attachments

  • mzumbe.png
    mzumbe.png
    9.3 KB · Views: 25
hii hapa wameblock access.... JF safi sana taarifa zimewafikia
 
Attachments

  • mzumbe2.jpg
    mzumbe2.jpg
    15.6 KB · Views: 27
SHAROBALO NAONA UNAJITEKENYA NA KUCHEKA MIMI NILIYESOMA MASTERS YA CRIMINAL SYNDICATE NAJUA UNAJUA AU UNAHUSIKA NA HIZO HACK!
 
jamani hivi sahizi ukifungu a site yao una pigwa na porn za ajabu ajabu sijui kama wanajua....hata ukisearch google wanakuambia this site may have been hacked!...check now

update
ukifungua link yao directly inafunguka ukifungua kwa kusearch google ndio inakuwa redirected kwenye site za ajabu.

update
wameblock access ya site yao, ni jambo jema na zuri, pongezi kwa JF kumbe taarifa zinawafikia wahusika mapema aisee safi sana ila hata hela ya bia moja sijapata!!
hao watu wa mzumbe ni mabwege sana, ina maana wao hawakujua kuwa site yao iko hacked. wapuuzi wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom