mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,697
Wadau natumia simu aina ya sumsung Duos laini mbili na model namba yake ni
SM-G 360H
Hii simu yangu ina high sensitve touch ambayo nikiwa naitumia wakati nimewasha data inaniumiza sana ngozi ya vidole vyangu inafikia kipindi naacha kutumia simu na kuna watu walinishauri niitoe ile karatasi ya screen protector nikafanya hivyo lakini bado hili tatizo lipo mpaka saivi na sijajua tatizo ni nini na mida hii ninavyoandika ujumbe huu najaribu kubadilisha kutumia kila kidole ili nimalize kuandika ujumbe wote kwa kuwa vidole vyote vinauma sana,,
Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa wa jambo hili anisaidie...