Maskini kompyuta yangu imeingia kwenye maji

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Habari zenu wanajamii forum
Naomba msaada kwani kompyuta yangu imeingia kwenye maji na haiwaki tena,je inaweza kuirudia hali yake ya awali au nifanyaje?hekima zenu wakuu
 
Habari zenu wanajamii forum

Naomba msaada kwani kompyuta yangu imeingia kwenye maji na haiwaki tena,je inaweza kuirudia hali yake ya awali au nifanyaje?

Hekima zenu wakuu
 
Habari zenu wanajamii forum
Naomba msaada kwani kompyuta yangu imeingia kwenye maji na haiwaki tena,je inaweza kuirudia hali yake ya awali au nifanyaje?hekima zenu wakuu
Disconnect battery, usconnect kwenye umeme then iache ikauke..inweza kuwak kma maji hayjagusa maeneo muhimu. Ukiweza to ram na hard disc.
 
Iwashie feni ipulizwe au blower puliza ktk keybord.
Maji yakiingia ktk mazabodi itakufa mashine
 
Kama haijapiga shoti inaweza kuwaka ifungue utoe motherboard yake nje toa screen safisha vyote na benzin nyingi viweke sehemu yenye hewa ya kutosha vikauke kama ni bahati yako haikushoti kitu kwenye motherboard itawaka au unaweza kutumia njia ya kuibeki kwenye ovena google utaoana njia mbalimbali
 
Habari zenu wanajamii forum
Naomba msaada kwani kompyuta yangu imeingia kwenye maji na haiwaki tena,je inaweza kuirudia hali yake ya awali au nifanyaje?hekima zenu wakuu
ulikuwa unaogelea nini mkuu,daah pole sana,itapona..
 
Haha ha ha hivi kukusoma precaution za item yako kabla ya kuanzas kuitumia na jinsi ya kuiokoa ikilowa maji!?
 
Tusiwe tunakurupuka Computer haiwezi kuingia kwenye Maji labda aniambie alikua anamaanisha nini? Otherwise Sijamuelewa.
 
Back
Top Bottom