Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii simu ilidumbukia kwenye maji baada yakuitoa nakuikausha ikawa inawaka nakuishia kwenye ile Logo ya Expirince smartlife now.. Haiendelei tena.. Nimejaribu kuhard reset imegoma nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Wakuu naomba mnisaidie elimu hapa, simu yangu ni microsoft lumia 535 na haitunzi charge haswa kama nikiwa safarini nakuwa naishiwa charge kabla sijafka. Naomba mnijuze ni aina gani ya power bank...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimefight kweli kutafuta cracked idm kila site hola,wengine wanasema craked ukidownload serial key needed jamani,,,watalam mwenye direct link anipe nisisumbuke na sitaaupdate tenaa dah mateso gani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani msaada kwa wenye uelewa na hili suala. Nina laptop aina ya Hp probook 6570. Huwa nikiweka cursor kwenye alama ya bettery inaonyesha hivi Bettery #1 Bettery #2 Sasa hili betri namba two ni...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za Leo wapendwa Napenda kujua mwenye utalamu was kutengeneza umeme was mbolea (Mavi ya ng,ombe anisaidie Nataka anijuze kuwa anaweza kunitengezea umeme huo kwa tsh. Ngapi Nimechoshwa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC nasoma telecomunication and electronics. Natafuta field sasa kuna kampuni inaitwa CAM SAT sijui ipo wapi, nataka nikaombe hapo. Jamani nisaidieni wiki...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Wanajamvi habari za kazi, Nina laptop dell Insporon 5050, nikijaribu kuconnect wireless network inaconnect lakini hai acces internet. Inaniambia connected lakini no internet acces nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Hatimae whatsap leo alfajiri na mapema imenidai update na kuonekana ktk muonekano mzuri kiupande fulan.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kampuni ya simu ya Tecno ni moto mkubwa katika kampuni kubwa mama ya Transsion Holdings ambayo makao yake makuu yapo nchini Uchina, kampuni hii ilianzishwa ikiwa July 2006. Kampuni ya simu ya...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
SASA UNAWEZA TUMIA WHATSAPP SAMBAMBA KWA SIMU JANJA NA KOMPYUTA YAKO Kampuni mama ya mtandao wa facebook imetangaza muendelezo wa mbadiliko mazuri mapya kwa mtandao wa mawasiliano unaotumika...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Pata Anti-virus aina ya Kaspersky bure kabisa kutoka hii link Bring the Friend Unajua kuwa kwa siku Kaspersky inakamata virus 315,000 kila siku? Jilinde sasa Bring the Friend
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Haijawahi kukutokea kutamani kuwa na akaunti zaidi ya moja za Facebook, Whatsapp, Instagram na Messenger katika simu moja? Hujawahi kutamani kuwa na akaunti zaidi ya moja katika tovuti zinazotoa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Daaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
10 Reactions
523 Replies
65K Views
Nahitaji kuingiza window kwenye PC yangu inanigomea naomba msaada Katika boot device menu kuna vitu vifuatavyo *onboard sata hard drive ,*onboard or USB CD ROM drive *system setup *hard drive...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu Jf imekua msaada kwa watu wengi sana tunao ifaahamu.. Kwakulitambua hilo nami nimeamua kutumia fursa hiyo ila kupata msaada. Nataka nifungu kaofic kangu kakutengeneza simu, hivyo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kutokana na muda wangu kwa sasa, na ujuzi nilionao, nimeona ni vyema nikawawezesha wasio na uwezo wa kumiliki magazeti yao waweze kuyamiliki na warahisishe mambo yao. Iwe biashara au charity, ni...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kuna ipad ya apple inaanza kustack au kuwa nzito wakati wa kuperuzi Hivyo kufanya kufungua page taratibu au wakati mwingine kujifunga wakati unaendelea kuperuzi Je ni kitu gani cha kufanya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari gani? wadau wa Tech,Gadgets&Science forum.Nimekuwa nikisumbuka saana kuinstall whatsapp katika Laptop yangu inadai kama space ndogo inataka 2GB na nikalidhia nikapunguza mzigo ila bado...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za weekend hii waungwana. Leo nilipata notification ya system update ya TECNO BOOM J8 ili kufix bugs zilizopo kwenye version ya sasa. Baada ya kuapkuwa na nilipoanza kuisakinisha (ku...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu? Mimi najitahidi ku install window 8 kwenye desktop yangu aina ya HP compaq inakusanya mafile ila ikijirestart inakuja error namba 2211 yenye maelezo haya 'Memory not configured...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom