Ninashida na king'amuzi changu cha startimes picha imekata halafu inaniambia No acces not subscribed, nimenunua kina mwezi na nusu na walinambia nitaangalia miezi 3 ndo niweke hela sasa kimekata tatizo ni nini?
da! startimes wanaboa sana especially hiyo namba ya huduma kwa wateja, kwanza wanakata ela then kupokea simu ni kwa mapozi sana. yaani inachukua muda mrefu sana na pengine wasipokee kabisa wakati huo unakatwa hela. mfyuuuuuuu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.