chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Habari za asubuhi wanaJF,
Jana nilijaribu kutaka kujua kama simu yangu ya star time panet 5 ni bandia, nikafanya kama walivyotuelekeza TCRA baada ya kufanya hivo majibu yakaja kuwa simu feki. Nikawapigia star time kuwajulisha majibu ya TCRA kuhusu simu yao, wameniambia kuwa niipeleke kwao hivyo najiuliza wanakwenda kunibadilishia wanipe og au wanarudisha pesa yangu.
Kwani wenzangu hamtumii star times?