Naomba msaada wa kuboresha hii Blog yangu

mart89

Senior Member
Jan 10, 2016
112
46
Nina blog yangu shida ni kwamba nashindwa kuweka vipengele mfano msomaji akifungua akute kuna sehemu ya habari, magazeti, ajira nk yani akifungua halafu aende kwenye sehemu husika
 
nipïgie nikuelekeze mzee mwenzangu....0653688004
Kwa blogger

Unapo andika Post Kulia kwako utaona Sehemu imeandikwa Label hapo uki click itakuja kibox andika category ya hiyo post halaf Done. Zote utafanya hivyo na ukiandika post kama category yake ulisha andika pale kwenye label utaiona utakachofanya ni ku clik halaf Done. Ukikwama nicheki 0719786098
 
Back
Top Bottom