kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,163
Naombeni msaada kupata setting za internet halotel. Nashindwa kuenjoy internet
Kuna shida hawa w. Kifurushi cha chuo ukiweka tu just a few downloads kinaisha. Wezi wakubwa hawaNaombeni msaada kupata setting za internet halotel. Nashindwa kuenjoy internet
mwanzo nlikuwa na mawazo hayo baadae nikagundua kuwa kwa kuwa mitandao mingine unakuwa na offer za fb na wasup buree ndo maana ukitumia halotel inakwenda, kimsingi mb 500 zikizidi sana kama una download mfail na mambo mengine only a day o 2dayz, kwisha,Kuna shida hawa w. Kifurushi cha chuo ukiweka tu just a few downloads kinaisha. Wezi wakubwa hawa