danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 566
- 115
Habarini ni zaidi ya wiki mbili sasa kuna kiasi kimekuwa blocked katika akaunti yangu hivyo kushindwa kufanya transaction mpya baada ya kuwasiliana na customer care wa CRDB naambiwa sababu ni baadhi ya online purchases transactions nilizofanyaga hazikuwa cleared hivyo kuna file kutoka visa wanalisubiri ili wakate hizo transactions.
Sasa ni wiki ya pili nasumbuana nao lakini tatizo liko palepale. Naomba wazoefu wa hizi online purchases au walowahi experience issue kama hii wanifahamishe solution ya hili suala.
Ahsanteni
Sasa ni wiki ya pili nasumbuana nao lakini tatizo liko palepale. Naomba wazoefu wa hizi online purchases au walowahi experience issue kama hii wanifahamishe solution ya hili suala.
Ahsanteni