netsh show drivers
netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=JinaUlipendalolanetwork key=password
netsh wlan start hostednetwork
Hiyo (TP) cable inatakiwa iwe ni Crossover, alafu unafanya configuration za LAN kama kawaida.Inawezeka ndio, bt unatakiwa uwe na wire wa twisted pair wire (TP) na kutengeneza ip address kwa kila compute unayotaka kushare kupitia local area connection
Asante mkuu natumia 8. 1,, naona ntafanikiwaaaUnatumia OS gani, ila kwa window 7,8 na 8.1 kwa kutumia WIFI hotspot unaweza fanya hatua zifuatazo,
fungua command line (cmd) as an administrator na uandike code zifuatazo
1, unatakiwa ujue kama computer yako inasuppport hosted network hivyo type code ifuatayo
kuna maandishi yatakuja ukiona mojawapo yameandikwa hosted network support : Yes. basi hapo unaweza kwenda hatua ifuatayo.Code:netsh show drivers
2. Kutengeneza jina la network pamoja na password andika code ifuatayo kwenye cmd.
Code:netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=JinaUlipendalolanetwork key=password
3. hatua ya mwisho ni kuistart hiyo network uliyoicreate kwa kuandika command ifuatayo,
Code:netsh wlan start hostednetwork
baada ya hapo unatakiwa uifanye hiyo network yako kama home group shared network ambayo unatakiwa uwende kwenye network and internet setting halafu iclick ile network yako halafu utaona option tofauti tofauti sasa wewe chagua Homegroup halafu utaona aina ya mafile ambayo unaweza share na hapo pia kuna password yake itakuja, kwa hivyo ukitaka kushare mafolders right click folder ulitakalo halafu chagua share na kwenye computer nyingine unaweza fanya hivyo kwenye folder mtalo taka share, hapo basi computer zenu zote zitakuwa zinaonekana utaweza kuyafungua hayo na kufanya mtakayo.