Kivipi!Nimeona niwashirikishe wenzangu wenye simu baada ya kushirikishwa kwamba ni vyema unapochaji hakikisha alama ya kwenye kichwa cha chaja iko sahihi unapoingiza badala ya kubahatisha kwani kwa kutofanya hivyo huua sana system ya chaji
hebu leo tufundishe,miguu ndio ipi na hiko kichwa ni kipi kwenye chaja,ingawa ulichokiandika hapa ni utumbo mtupu,namaanisha hakieleweki..Nimeona niwashirikishe wenzangu wenye simu baada ya kushirikishwa kwamba ni vyema unapochaji hakikisha alama ya kwenye kichwa cha chaja iko sahihi unapoingiza badala ya kubahatisha kwani kwa kutofanya hivyo huua sana system ya chaji
Tundu lolote ukikosea kuingiza lazima uharibu system, tuwe makini.