Mm nilijaribu kuchek kwenye YouTube kwa kiasi kikubwa nilipata mwongozo so nakushauri tumia YouTube tutorial itakusaidia.Wadau wa kodi hii easy advanced setting katika kodi unaiseti vipi kulingana na mitandao yetu ya hapa tz ili kuondoa buffering.naomba msaada.
Umejaribu kuulizia TRA?