Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,234
Kila nikifungua mozilla Firefox inaandika "Firefox has stopped Working" halafu inasema check Online for solution and close a program hata nikifanya hivyo bado haitatui hayo matatizo ki fupi imenichosha kwa sasa natumia Operamini naona na yenyewe inazingua tuu.
Najua mko interested na simu lakini chonde chonde mnisaidie kwa hili inaninyima raha hii computer.
Najua mko interested na simu lakini chonde chonde mnisaidie kwa hili inaninyima raha hii computer.