Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Microsoft Corp announced morebig cutsto its smartphone business on Wednesday, just two years after it bought handset maker Nokia in anill-fated attempt to take on market leaders Apple and...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Damn! Every app, every software nashindwa ku root any ideas how to root Huawei y330!!?? Niweze kutoa System Apps
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inajulikana kuwa android ,window,ios n.k ni oprrating system je naweza change android os kwenda wimdow os au ios n.k
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Adjez wadau niko na shida na app pouw ya music player.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kujua jinsi nitakavyoweza kubadili Android operating system ya simu yangu iende kwene IOS 7.. Wale wababe wa It embu nielwkezeni.
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Kuanzia jana usiku mpaka leo nimeweka Mb 500 mara tatu kitu ambacho si cha kawaida maana sina matumizi ya kiasi hicho mwanzoni Mb 500 zilikuwa zinakaa mpaka siku tatu. Sasa sahiv ndo hatari zaidi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji msaada kama kichwa kinavyojieleza naomba kama umeshawahi kufanya kazi ya blogs unipm kuna vitu nahitaji kuvifaham juu ya blogs na jinsi ambavyo unaweza kuingiza kipato kupitia...
1 Reactions
0 Replies
839 Views
Habari za siku wakuu? Natumai ni wazima wa afya kabisa, Kama title inavyojieleza naomba msaada nina siku ya tano kama sio ya sita meseji hazingii wala hazitoki Kama kuna Code au pin za kufungua...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nina modem ya zaman ya Zantel bado mpya sikuitumia sana ningependa kujua namna ya ku iunlock ili iwe universal .naomba nielekezwe au nipewe msaada
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nnimeona kwa sasa simu nying battery zake zmekuwa unremovable .sabab itakuwa ni nini? Faida zake ni nini?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana J.f naomba msaada,hizi keypads za simu yangu(htc) huwa zinapotea kabisa...ila niki restart hii android yangu zinarudi kwa muda na kupotea tena....nisaidieni mwenzenu bila kuchangia humu naumwa!
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Leo Microsoft wamewafukuza kazi watu 1,800 waliokuwa wanashughulika na kutengeneza simu za WP kwa upande wa hardware. Hii ni ikiwa asilimia ya wanunuzi wa WP duniani wakiwa wameshuka chini ya...
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi ninatumia simu aina ya techno c8 niliiroot kwa kutumia app ya kingroot na ikafanikiwa kufanya kazi, lakini tatizo linalonisumbua ni kila baada ya saa moja hivi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari inayosumbua mtaani ni kuhusu simu feki, na serikali nayo imeshindwa kuweka wazi (kwa uzembe/kutokujua) baadhi ya mambo kuhusiana na IMEI numbers vs Mobile manufactures. Asilimia kubwa ya...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
jaman kwa wale wote ambao ka ugonjwa ketu ni haya magem mazuri na makubwa, hili game ni zuri kiukweli nmeamua kushare nanyi BONYEZA HAPA kuli download #Sayay theCompu3rGUY
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF. naombeni mnijuze eneo gani katika IT lina soko yani ajira zake zipo za kutosha. naombeni mniambie ili niweze ku specialize kwenye hilo eneo. mimi mwanachuo nahitaji mnipe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini.. Kama ilivyo ada, watu wanapendelea games mbalimbali..wengine soka, wengine magari, wengine pikipiki wengine missions.. sijui kwa wale wa hizi flight games... mimi ni mpenzi sana wa...
3 Reactions
96 Replies
10K Views
Hi, eGA kuna issue gani? Naona kuna tatizo la kupata sites za .go.tz mara kwa mara. Ni muhimu wawe reliable kwenye availability ili kuongeza kuaminiwa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hizi sim za halotel za batani au cell phone mwenye uwezo wa ku unlock anisaidiee plz....!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nimeshafungua acount ya hulkshare nakuweka baadhi ya sauti nizitakazo shida nipale ninapotaka kushare katika blog yangu ndio ninapokwama. Kushare katika facebook na twitter naweza Msaada wenu Wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom