Mwisho wa Windows Phone unakaribia?

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,630
2,460
Leo Microsoft wamewafukuza kazi watu 1,800 waliokuwa wanashughulika na kutengeneza simu za WP kwa upande wa hardware.

Hii ni ikiwa asilimia ya wanunuzi wa WP duniani wakiwa wameshuka chini ya 1% yaani chini ya asilimia moja ya simu zote zilizouzwa duniani ni Windows Phone!

The end is near!
 
hilo lilitegemewa toka Nadela anaingia, sasa hivi microsoft wapo kwenye transition wanaua department toka Nokia na simu zitatengenezwa na department inayotengeneza tablet za surface chini ya panos panay

huyu jamaa panay ameitransform sana microsoft na naamini ni mtu sahihi kumpa hii kazi lets hope surface phone inakuja muda si mrefu
 
Back
Top Bottom