Msaada hizi keypads!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Wana J.f naomba msaada,hizi keypads za simu yangu(htc) huwa zinapotea kabisa...ila niki restart hii android yangu zinarudi kwa muda na kupotea tena....nisaidieni mwenzenu bila kuchangia humu naumwa!
 
Back
Top Bottom