Sababu za Battery za Simu kwa sasa kuwa Unremovable

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Nnimeona kwa sasa simu nying battery zake zmekuwa unremovable .sabab itakuwa ni nini? Faida zake ni nini?
 
Em ngoja waje wenyewe, mana hata mi huwa naogopa nikiona "unremoble" ..!! Yan huwa nahisi likichakaa ndo bas unaitupa simu, sasa sijui zinadumu kwa muda gan ..?!
 
Safety ya particular product....maana ya smartphone ni kuwezesha usmart hata kwenye specific phone
 
manufacturers need a legal way to avoid people using the same phone over a long time. In particular, the smartphone should be thrown away in few years to avoid that the manufacturers market shrinks dramatically. Their need is purely economical: phone manufactures are kept away from the recurrent revenues of subscriptions that go to the network providers.

Admittedly, phone manufacturers have found a legal and technical way to limit the lifetime of a phone: a component with a limited lifetime that cannot be replaced. In theory, it can be replaced, but in practice it will cost you as much as a new phone and it will be a hassle to do it. Nobody wants to stay anymore without phone for days, so you have a good reason to swap it.
 
sababu zipo nyingi zimetajwa hapo juu sababu nyengine ni kama urahisi wa kudesign simu na kufanya simu ziwe nyembamba
 
pia hawataki ziingie maji, mfano Sony Xpezia Z..... wanafanya hivo ili simu iwe dust, water proof n.k
 
The same applies to laptop processors. Siku hizi laptop nyingi nyembamba zinakuwa na processor iliyochomelewa kwenye PCB moja kwa moja. Hii inasaidi laptop kuwa nyembamba kwa sababu hakutakuwa na physical cpu socket, bali solder inamaliza kila kitu. Pia hakutakuwa na ongezeko la nafasi ya cpu lockers.

Kwa simu nayo ni hivyo hivyo , wameangalia kwamba kwa simu yenye ubora ni vigumu sana battery kuhitaji replacement kama ilivyo cpu. Pia inapunguzu matumizi ya nafasi na kufanya simu iwe slim and compact.
 
aisee.....na sasa ili kulifanya battery likae kwa muda mrefu kuna njia gani za kuzingatia? au ni nini kinachofanya battery ya simu ife kwa haraka zaidi?
 
Nadhani sababu kuu ni quality maintenance,battery lazima iendane na mahitaji ya simu. Kuna Nokia nyingi tu zinatumia battery za tecno..... Hicho ndio manufacturers wa smart hawataki
 
Back
Top Bottom