Msaada: Jinsi ya ku-flash simu za halotel ili nitumie laini zote

Msaada: Jinsi ya ku-flash simu za halotel ili nitumie laini zote

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,128
Reaction score
1,570
Wakuu hizi sim za halotel za batani au cell phone mwenye uwezo wa ku unlock anisaidiee plz....!
 
Hizo simu haziflashiwi kwa kutumia code xo ni lazima uende kwa mtaalam moja kwa moja. Pia zile za batan ndo haziflashiki kabisa.
Yangu niliiflash magomen mapipa
 
Back
Top Bottom